Kitabu cha Kiswahili chenye njia 15 za kuanza kupata kipato online, na mpango wa siku 30 wa kutafuta mteja wako wa kwanza.
Soma sura ya bure kwanzaUna video na tutorials nyingi zilizohifadhiwa, lakini hujui uanze na nini, wapi pa kumpata mteja, au nani wa kumwamini. Kitabu hiki kinakupa njia moja iliyo wazi ya kufuata kwa siku 30.
Kila chimbo lina maelezo ya kuanza, unachohitaji, na jinsi ya kumpata mteja wa kwanza.Unachagua linalokufaa.
Kuna hatua za kila wiki zinazokutoa kwenye kusoma hadi kuchukua hatua na kuwasiliana na wateja wa kwanza.
Kuna ujumbe tayari wa kuanzisha mazungumzo na wateja, na prompts za kupata idea, kuandika content na kuelewa soko lako.
Utaoneshwa dalili za scam za kuzitambua kabla hujapoteza pesa, ili uanze kwa uhakika.
Mimi ni RevonTech, mjasiriamali wa kidigitali hapa Tanzania. Ninajenga na kuendesha RevonTech TV, RevonSMM, RevonBot na RevonTech Digital Solutions. Nimeandika kitabu hiki kutokana na kazi ninazofanya kila siku, si nadharia.
Kitabu cha PDF pamoja na kila kitu unachohitaji kuanza.
Malipo mara moja. Hakuna usajili wala malipo ya kila mwezi.
M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas, HaloPesa. Unapakua kitabu baada ya malipo kuthibitishwa.
Una swali? Niandikie WhatsApp
Mtu anayeanza: mwanafunzi, aliyejiajiri, au aliyeajiriwa anayetaka kipato cha ziada. Hakuna uzoefu wa awali unaohitajika, ila unahitaji simu au kompyuta na nia ya kufanya kazi.
Hapana, na hatukuahidi hivyo. Kitabu kinakupa njia na mpango, lakini matokeo yanategemea unachochagua na unavyoshughulikia. Kama unatafuta njia ya kutajirika bila kufanya kazi, kitabu hiki si chako.
Njia nyingi zilizomo zinaanzia na skill, simu na muda wako. Baadhi zinaweza kuhitaji gharama ndogo baadaye, na kitabu kinaeleza wazi ni zipi.
Bofya “Nunua kitabu”, utafunguliwa ukurasa salama wa malipo wa Snippe. Bonyeza Add to Cart, weka namba yako ya malipo na ya WhatsApp, kisha thibitisha malipo kwenye simu yako kwa PIN. Utapakua kitabu moja kwa moja.
M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas na HaloPesa.
Mara tu malipo yanapothibitishwa unapakua kitabu moja kwa moja kwenye ukurasa wa Snippe. Ukipata tatizo la kukipakua, tuandikie WhatsApp na tutakusaidia.
Kiswahili rahisi, chenye baadhi ya maneno ya Kiingereza yanayotumika kawaida kwenye biashara ya mtandaoni (skills, offer, customer).